Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kila mwanachama anapaswa kuwaunga mkono wagombea watakaopitishwa na chama hicho katika ...
Said Fela agombea uenyekiti wa serikali za mtaa
Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fela anawania uenyekiti wa serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke kupiti...
Hoja mpya zalichanganya Bunge Maalumu
Mwenyekiti wa Kamati Nambari 10 wa Bunge Maalumu la Katiba, Salmin Awadh Salmin akizungumza na waandishi wa habari Dodom...
Bunge Maalumu mtegoni tena kuanzia leo
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Samuel Sitta. PICHA |MAKTABA Dodoma. Mjadala kuhusu masuala ya Muungano unat...
Funga kazi: Warioba, Kabudi, Butiku wawasha upya moto wa Katiba
Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akizungumza kwenye mdahalo wa Katib...
Katiba mkwamo; Ukawa wasisitiza hawatarudi bungeni
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari, kuhusu msimamo wao...
MJADALA: Kasaka, Butiku: Sera ya CCM ni Serikali mbili kwenda moja
“Kama hawakumbuki rekodi, hilo ndilo CCM ilitakiwa wakumbuke. Kwamba sisi sera yetu tuliyokubaliana ilikuwa siyo Serika...
Ukawa wawatia kiwewe Wassira, Mwigulu, Lukuvi
Stephen Wassira. PICHA|MAKTABA Moshi/Dar. Mawaziri Stephen Wassira na Mwigulu Nchemba wamesema kuwa japo Bunge Ma...
KATIBA MPYA: Wassira, Lipumba, Lissu ‘wanyukana’
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Stephen Wassira akizungumza kwenye mdahalo uliofanyika jijini Dar es...
Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa
“Hakuna kifungu cha sheria kinachosema Rais anaweza kulivunja Bunge hilo, bali linaweza kuahirishwa. Nami ningeshauri liahirishwe hadi ha...
Chadema ngangari, yasisitiza kutoshiriki Bunge la Katiba
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salam jana, kuhusu maazimio ya Kamati Kuu...
Wasanii msichukue upande, mtapotea
wasaniii Tanzania Tasnia ya sanaa imekua, ukiachana na sanaa kama kivutio, kuna jingine kubwa na la msingi la sana...
Dk Slaa: Tulishinda urais 2010
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willbrod Slaa wakati wa kika...
Ikulu: Wanaomkosoa JK hawako sahihi
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Salva Rweyemamu.PICHA|MAKTABA Dar es Salaam. Ofisi ya Rais imesema kuwa w...
Kafulila adai Serikali inataka kumuua
Naomba nichukue nafasi hii kutoa tamko kwamba wakati wowote nikifa, mhusika mkuu wa kifo changu ni Serikali ya CCM”.Davi...