Mwanachama
damu wa Simba na mgombea wa kiti cha urais wa klabu hiyo katika
uchaguzi wa juni 29 mwaka huu, Evens Aveva amerudisha fomu zake leo
mchana, huku akisindikizwa na mamia ya wapambe wake.
Katika pilikapilika hizo, Aveva alisindikizwa na aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Simba miaka ya nyuma Hassan Dalali.
Post a Comment