0
Azam FC imehitimisha ziara yake Afrika Kusini kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji, Moroka Swallows katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Volkswagen Dobsonville.
Mchezo dhidi ya Moroka ulikuwa wa tatu kwa kikosi cha Azam, baada ya kucharazwa mabao 3-0 na Kaizer Chiefs, kisha kudunguliwa mabao 2-1 na Orlando Pirates na ushindi pekee wa bao 1-0 dhidi ya Mamelodi Sundowns.
Katika pambano la jana, bao pekee ya Moroka lilikwamishwa wavuni na Felix Obada aliyetokea pembeni na kufumua shuti akiwa nje ya 18.
mashindano ya Kombe la Shirikisho mwakani.
Naye kocha Stewalt Hall wa Azam alisema timu yake ilicheza vizuri, lakini ilishindwa kutumia nafasi ilizopata.Subhead andika hapa , andika hapa,andika hapa Subhead andika hapa andika, andika hapa, subhead andika hapa, andika hapa,

Post a Comment

 
Top