Maofisa wa Polisi nchini Pakistan wametangaza rasmi kuwa wakili
aliyekuwa akimtetea Dakatari aliyefanya ujasusi sehemu aliyokuwa akiishi
Sheikh Usama Bin Laden Amiri wa zamani wa Kundi la Al Qaida.
Habari
kutoka nchini Pakistan zinathibitisha kuwa watu waliokuwa wamejihami na
silaha walimpiga risasi Samiullah Afridi wakati alipokuwa akitoka
nyumba kwake iliyoko mji wa Peshewar iliyo mji mkuu wa 3 nchini
Pakistan.
Wakili
huyo aliyeuawa alikuwa akifanya juhudi kubwa ya kuwaelezea kwa Majaji
wakuu wa Pakistaan kuwa Daktari aliyehusika kumfanyia ujasusi Sheikh
Usama Bin Laden hana dhambi yeyote,Daktari huyo alimfanyia ujasusi
Shekhe kwa Makachero wa Marakeni hadi alipokutana na Mola wake mwaka
2011.
Makundi
mawili ya Kiislaam yalioko nchini Pakistan yamedai kuhusika kifo cha
Wakili huyo aliyekuwa mtetezi wa Daktari aliyehusika kumwua Sheikh Usama
Bin Laden.
Post a Comment