Kikosi
kilichojihami sawasawa cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kilifanya
shambulio katika eneo la mkusanyiko wa Manaswara na kusababisha hasara
kubwa.
Vyombo
vya habari nchini Kenya imetangaza kuwa watu 4 wameuawa kutokana na
mashambulio hayo na wengine 7 wana majeruhi,walioshuhudia wameliambia
vyombo vya habari kuwa washambuliaji waliwaua watu mmoja baada ya
mwingine katika eneo hilo la mkusanyiko wa watu ambao Maofisa wa Polisi
hupendelea kwenda kupoteza muda nyakati za usiku.
Mkuu
wa Polisi katika mji wa Wajeer amethibitisha kutokea shambulio hilo
huko akikataa kutaja idadi rasmi ya watu waliouawa kwenye shambulio hilo
iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.
Post a Comment