0


Habari kutoka katika mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa shambulio kubwa imelengwa dhidi ya wanamgambo wa Utawala unaopambana na Uislaam uliojiita wa Puntland.



Wapiganaji wanaoiunga mkono Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamefanya shambulio la kuvizia msafara wa Magari wa kijeshi waliokuwemo wanamgambo wa utawala wa Puntland nje kidogo na mji wa Bosaso.



Duru zinaeleza kuwa makabiliano makali yaliosababisha hasara kati ya wanamgambo wa utawala wa "Punland" na Mujahidina wa Al-Shabab yamefanyika katika kijiji cha Balli Khadar,vishindo vya milipuko na milio ya silaha nzito na rashasha yalisikika nje ya mji wa Bosaso.


Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kuhusiana na hasara yaliosababishwa na mashambulio hayo yaliofanyika mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Ardhi ya Somalia,katika miezi ya hivi karibuni vikosi vya Mujahidina walifanya mashambulio makubwa ndani na nje ya mji wa Bosaso makao makuu ya Mkoa wa Kaskazini Mashariki.

Post a Comment

 
Top