Wanamgambo
wa Kishia wapatao 3,370 wakiwemo Maofisa wakuu wa Kijeshi kutoka
Serikali ya Kifarisi wa Iran wameuawa katika mapigano yanayoendelea miji
na Ardhi ya Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.
Taarifa
rasmi uliotolewa na Jeshi la ulinzi la taifa la Iran imedai kuwa mamia
ya Maaskari wao wameuliwa nchini Iraq huko wakishiriki kwa kile
walichokitaja kuwa "Jihadi iliyo Muqaddasi" ikiwa na maana ya Jihadi ya
kulinda Mahekalu ya Iran.
Mashia
wanaiona kuwa ni Jihadi kulinda na kutetea Mahekalu yanayoabudiwa
kinyume na Allah ambapo yako katika miji ya Karbala,Najaf,na
Samaraa,Kamanda wa Mafuta wa Faylaqa Al Qudus Jenerali Qasim Suleyman
ndie mwakilishi wa Serikali ya Kimajusi ya Iran kwenye mapigano
yanaoendelea nchi za Iraq na Syria.
Kamanda
wa wanamgambo wa Kishia waliojiita Jahash wanaopigana nchini Iraq
ameliambia vyombo vya habari kuwa mapigano yaliodumu siku tatu mfululizo
walipoteza maelfu ya wanamgambo nje ya mji wa Tikrit huko akiwalaumu
Ushirika unaongozwa na Marekani kuwa ushirika huo umezembea mashambulio
ya angani.
Maelfu
ya maiti za wanamgambo wa Kishia waliowekwa kwenye Masanduku
yaliteremshwa katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa mji wa Qum nchini
Iran huko Makaburi yalioko kwenye kijiji cha Al Muthana nje kidogo na
mji wa Baghdaad wakizikwa Maziko ya pamoja kwa maelfu ya wanamgambo wa
Kishia walioangamia kwenye makabiliano kati yao na waislaam wa kisunni.
Vikosi
vya Dola ya Kiislaam kwa upande wao wamejiza titi uvamizi kutoka
makundi mbalimbali ya Kshia na ushirika wa Makafiri wa kimataifa
unaongozwa na Marekani katika Mikoa ya Al Anbaar na Salahudin.
Post a Comment