Baada ya kufanyika shambulio la kuvizia katika eneo lililo nje kidogo
na mji wa Kismaayo vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen
wamefanikiwa kukamata Gari waliokuwemo Wanamgambo wa utawala wa Ahmed
Madobe.
Habari
kutoka katika mkoa wa Lower Jubba zinaeleza kuwa makabiliano yasiokuwa
makali yamefanyika katika kijiji cha Fuuma ambapo ilifanikisha
Mujahidina kuukamat Gari pamoja na wanamgambo waliokuwemo.
Mwandishi
wa habari aliyoko mkoa wa Jubba anasema wanamgambo wawili wa Ahmed
Madobe waliuawa kwenye makabilino hayo na Mujahidina kuchukua Gari hilo
pamoja na Shehena za Kijeshi.
Ni mara ya kwanza wanamgambo hao kukumbana na hasara kubwa katika kijiji cha Fuuma iliyo umbali wa KM 30 kwenda mji wa Kismaayo.
Post a Comment