Habari
kutoka nchini Libya zinaeleza kuwa watu 7 wameuawa na mashambulio ya
Ndege ya Utawala wa Abdilfatah Al Sisi katika mji wa Darnah ulio
mashariki mwa nchi hiyo.
Mashuhuda wanasema watu waliouawa walikuwa ni raia wa kawaida wakiwemo wanawake na watoto.
Idadi
ya waliojeruhiwa imefikia 17 na nyumba 8 kuharibiwa vibaya iliyo
katikati mwa mji wa Darna,hata hivyo ndege za kivita za Misri
zimeshambulia pia mji wa Sirta ulio katikati mwa Libya ambapo iko chini
ya utawala wa Mujahidina.
Utawala
wa Misri ni sehemu ya Ushirika wa Kishetani unaongozwa na Marekani
pamoja na Mataifa mengine ya Kiarabu ambao ni washirika wa muungano huo
ulio dhidi ya Waislaam.
TZIAMA VIDEO HAPA CHINI
Post a Comment