Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetoa
ufafanuzi kuhusiana na makabiliano makali yaliofanyika mkoa wa Lower
Shabelle ambao imewahusisha kati ya Wanajeshi wa AMISOM na Mujahidina.
Sheikh
Abdulaziz Abuu Mus'ab msemaji wa Kijeshi wa Al-Shabab amesema kuwa
shambulio iliyofanyika jana katika eneo la No.60 wamewaua Wanajeshi
watano wa AMISOM na Afisa mmoja wa Kizungu aliyekuwa akiongoza vita.
Post a Comment