0


Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen umetoa ufafanuzi kuhusiana na makabiliano makali yaliofanyika mkoa wa Lower Shabelle ambao imewahusisha kati ya Wanajeshi wa AMISOM na Mujahidina.



Sheikh Abdulaziz Abuu Mus'ab msemaji wa Kijeshi wa Al-Shabab amesema kuwa shambulio iliyofanyika jana katika eneo la No.60 wamewaua Wanajeshi watano wa AMISOM na Afisa mmoja wa Kizungu aliyekuwa akiongoza vita.

Post a Comment

 
Top