0
Umeshaimba wimbo wako? nafasi ya kutoka kupitia muziki bado iko wazi na shindano la kusaka vipaji la Airtel Trace Star, onyesha kipaji chako sasa kwa kupiga 0901002233 na uingie kwenye kinyanganyiro cha kuwa nyota wa muziki wa Afrika, na upate dili la kurekodi katika studio kubwa ya mziki nchini marekani ya universal music, chini ya usimazi wa AKON. Airtel trace star simu yako, studio yako.
10802893_312248748979060_178351396_n

Post a Comment

 
Top