Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi hilo.
BASI la abiria aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T 399
BYC lililokuwa likitokea Musoma kwenda Bunda limepata ajali mchana huu
na kujeruhi abiria katika eneo la Bitaraguru lililopo nje kidogo ya mji
wa Bunda mkoani Mara.Basi hilo limepata ajali baada ya kuacha njia na kupinduka. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo hakuna abiria aliyepoteza maisha.
Post a Comment