Miaka kadhaa nyuma nilikutana naye.....
tuliongea mengi na kupanga mipango mingi....
lakini kubwa zaidi ni zawadi niliyomzawadia....
A 16 BARS

katika moja ya vibao vyake katika ALBUM LAKE LA PASAKA( WAAMBIENI)!!
Waambieni urithi wa haki ulimpasa makongoro/
Rights n peace ar like sons of tomorrow/
Urithi wa haki ni elimu na haki elimu haitaki/
Bimkubwa ananisomesha kwa pesa ya kibati/
Teacher aliyemfundisha doctor aliyesota juu ya dawati/
Leo doctor ana dawa ila teacher anakufa kwa vumbi la chaki/
Usishindane na msichana pedeshee atamuhonga noah/
So wanangu wa OLD MOSHI someni tu mtatoboa/
Demokrasia ni watu(true dat) ila sio sisi ni wao/
Wanaopewa ushauri na wake zao/
Kisha wanaitunga sheria, zinatu-cost hatuna hatia/
Hawaridhiki mpaka katiba wameichakachua/
Lipige goti Kala jeremiah tuifanye ibada/
Hukumu itapofika mimi na wewe tuwe shuhuda/
Wanashikiliwa mitutu wa-sign mikataba/
Na waliouwawa arachuga ninawaombea kwa baba/

Post a Comment