0

ADA YA FREEMAN MBOWE KWA JINA LA GRACE MBOWE AFARIKI AJALINI     Grace Mbowe, mmewe na mtoto wao wadaiwa kufariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

- Ni dadake Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa kajiunga CCM karibuni

Taarifa zaidi soma => http://bit.ly/165qJzr Grace Mbowe, mmewe na mtoto wao wadaiwa kufariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga - Ni dadake Mwenyekiti wa CHADEMA aliyekuwa kajiunga CCM karibuni Taarifa zaidi soma => http://bit.ly/165qJzr       
Grace Mbowe mwanamama aliyedaiwa kutoka chama cha Chadema na  kuhamia CCM wilayani Hai Amefariki kwenye ajali mbaya iliyotokea Kabuku mkoani Tanga mapema asbuhi hii.     Ni dadake Mwenyekiti wa CHADEMA.   Tutaendelea kuwajuza zaidi.  See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/09/breaking-newsdada-ya-freeman-mbowe kwa.html#sthash.2Dy2iK1u.dpuf

Post a Comment

 
Top