0
Kwa mara nyingine tena Msomaji wa Mtandao wa Kiislaam anaendeleza maudhui yake ya kuwazindua ndugu zake Waislaam wasio ufahamu zaidi kuhusu Gazeti linalojinasibisha kuwa ni Sauti ya Waislaam,huko Mwandishi wa Makala hii akikana dhana hiyo ya kuinasibisha kuwa Gazeti hilo ni la Waislaam na kuelezea namna Gazeti hilo unavyoipiga vita Uislaam.


Fuatilia kwa umakini hadi mwisho wa Makala hii muhimu ambao Ndugu yatu ameona awabainishie haki kwa ndugu zake wasioufahamu vitimbi vya Gazeti hilo.


Download hapa chini
Gazeti la Annur si Sauti la Waislaam

Post a Comment

 
Top