0
Takriban wanamgambo 100 wa Kishia kutoka Utawala wa Baghdaad na wale wanaoiunga Iran wameuawa katika makabiliano makali yaliofanyika huko Magharibi mwa Iraq.



Habari kutoka mjini Ramadi makao makuu ya Jimbo la Al Anbaar zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wa Dola ya Kiislaam walifanya mashambulio kadhaa yaliofuatana baadhi ya mitaa ya mji wa Ramadi na kusababisha maafa 78 ya Maaskari huko Mujahidina wakiutwaa maeneo yote yaliofanyikia mapigano.




Vyombo vya habari nchini Iraq zimeleza kuwa vikosi vya Dola ya Kiislaam wamewalazimisha wanajeshi wa Kishia wa Iraq kurudi nyuma huko wakiwakamata mateka 45 wakiwemo Maaskari na Maofisa wakuu wa kijeshi.



Televisheni ya Al Jazeera imetangaza kuwa Msafara wa Magari ya kijeshi waliokuwa wakienda kutoa msaada mji wa Ramaadi wote wameingia mikononi mwa Vikosi vya Dola ya Kiislaam.

TIZAMA HAPA VIDEO YA AL JAZEERA
 

Post a Comment

 
Top