Kwa mara nyingine tena wanamgambo wa Kishia Huthi waliouteka miji
mikubwa nchini Yemen wamekutana na hasara kubwa.
Habari kutoka mkoa wa Shabwah kusini mwa Yemen zinaeleza kuwa milipuko mikubwa yliowalenga wanamgambo wa Kishia wa Huthi.
Walioshuhudia
wanasema Gari iliyokuwa imejazwa vitu vya vilipuzi ililipuka katika
kituo cha Polisi cha mji wa Beyhan na kusababisha maafa ya wanamgambo
zaidi ya 40.
Taarifa
rasmi iliyotolewa na Mujahidina wa Ansaru Sheriah imetaja kuwa
Mujahidina walifanya Aamiliya Istish-haadiyah kwenye eneo la mkusanyiko
wa mji wa Beyha na kuwaangamiza makumi ya wanamgambo hao.
Wiki
iliyopita Mawakala wa Iran waliuteka Maeneo mengi ya mkoa wa Shabwah
baada ya kukabiliana na makundi ya kikabila na Mujahidina.
Post a Comment