Habari kutoka mkoa wa Bolijistan eneo linalotawaliwa na Iran
zinaarifu kuwa wanajeshi 10 wa Jeshi la Iran wanaolinda mipaka wameuawa
kwenye shambulio la kuvizia iliyotekelezwa na Mujahidina.


Asfar
Mishirkari ambae ni kiongozi upande wa usalama katika eneo
linalotawaliwa na Iran ameliambia shirika la habari la Iran kuwa
wapiganaji waliojihami vilivyo waliwashambulia na kuwaua wanajeshi 8
"Makundi ya Kigaidi yaliojihami na silaha yamefanya mashambulio kwa
msafara wa wanajeshi wanaolinda mpakani na baadae wamekimbia kurudi
upande wa Pakistan",alisema Afisa huyo aliyezumgumza kwa niaba ya Iran.
Mwezi
uliopita Mujahidina wa Jundullah walidai kutekeleza mashambulio kadhaa
iliyowaua wanajeshi wa Iran,kwa upande wa Utawala kibaraka wa Pakistan
imesema kuwa wapiganaji wa Kiislaam waliotekeleza shambulio hilo dhidi
ya Iran hawakuingia nchi yake.
Taarifa
rasmi iliyotolewa na Kundi la Jeyshul Adli limedai kuwa Mujahidina wa
kundi hilo ndio waliotekeleza shambulio la mwisho iliyowalenga wanajeshi
wa Kishia wa Iran na kutishia kuwa wataendelea kuongeza mashambulio yao
dhidi ya Serikali ya Iran hadi hapo Utawala huo wa Iran itakapoendelea
kuukalia Ardhi za Waislaam wa Kisunni.
Mgongano
wa kisiasa uliopo baina ya Utawala wa Islamabad na Tehran umepelekea
Pakistan kutuma wanajeshi wake kwa Saudi Arabia ili kushiriki mapigano
ya kuwafurusha wapiganaji wa Kishia wa Huthi nchini Yemen.



Post a Comment