Kumepatikana maelezo zaidi kuhusiana na mashambulio kadhaa
yaliofanyika masaa machache yaliopita katika vijiji na miji yalio chini
wavamizi wa Wanajeshi wa AMISOM mkoani Lower Shabelle.
Habari
kutoka Wilaya ya Afgoye zinaarifu kuwa mkuu wa Polisi wa mji huo
ameshambuliwa kwa mabomu wakati ambapo kulifanyika makabiliano makali
kwenye mtaa wa Mukayga.
Duru
ziliarifu kuwa Maaskari wawili wamejeruhiwa na kuaawa kwenye shambulio
la mji wa Afgooye,upande mwingine kuna taarifa kuwa wapiganaji wa
Harakat Al-Shabab Al Mujahideen walifanya Doria katika baadhi ya mitaa
ya mji wa Marka makao makuu ya mkoa wa Lower Shabelle.
Post a Comment