Kamanda
mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani na ambae ni mkuu wa mipango na
siri za Kiongozi wa nchi hiyo Barack Obama John O. Brennar Al Khamisi
iliyopita alitoa uthibitisho uliowashangaza wengi waliokuwa wakitangaza
miaka ya hivi karibuni kuwa Marekani anawasaidia wananchi wa Syria.
Marekani
kwa wazi bila kuwa na kificho amatangaza rasmi kuisadia Utawala wa
Bashar Al Asad na hakubali kuangushwa kwa Utawala huo na kuisadia
Makundi ya Kinuseyria unaopambana kwa kile alichokiita Ugaidi na maana
ya hatua hiyo ni kuwa Marekani na Manuseyria wanashirikiana kuupiga
waislaam wa Syria.
Brennar
amethibitisha kuwa kuangushwa kwa Utawala wa Asad na kile alichokiita
kuwa kinaweza kusababisha madhara makubwa ya umwagikaji wa Damu nyingi
nchini humo na kutaja kuwa Utawala unaweza kuchukuliwa na Makundi yalio
na mahusiano na Al qaida na IS ambao wana uwezo wa Kijeshi nchini Syria.
Marekani
ambae ndie anaeongoza vita vya Msalaba ameweka hadharani uamuzi wa
Mataifa ya Magharibi,Jamhuri ya Kishia ya Iran na Tawala Taghuti za
Kiarabu dhidi ya Nidhamu ya Ala Asad na kutaja kuwa wataisaidia Utawala
huo kwa vyovyote watakaoweza kuisaidia ili usiweze kuangushwa.
TIZAMA VIDEO YOU TUBE HAPA CHINI
Post a Comment