Wakaazi
wa mji wa Mandera wanasema walisikia vishindo vikubwa vya milipuko
yaliofuatana kwa mfululizo ambao ulilengwa ofisi ya Kastam ya mji wa
Mandera na muda mfupi baadae ulifuatiwa milio ya risasi iliyofyatuliwa
na Polisi.
Duru
za kuaminika zinaeleza kuwa Gari waliokuwa nalo Polisi ulilengwa
mlipuko na baadae maofisa wengine wa Polisi waliokuja kutoa msaada nao
walilipuliwa kwenye eneo la Kastam wa mji wa Mandera.
Magari
mawili ya Polisi yaliteketea kwa moto huko maangamizi ya Maaskari
Polisi ikiwa ni 5 kama walivyonukuliwa taarifa kutoka ndani ya Polisi wa
Kenya.
Post a Comment