Habari kutoka mkoani Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika makabiliano makali kwenye eneo waliokuwepo wanamgambo wanaoiunga mkono Serikali ya FG.
Usiku
wa kuamkia 30,03,2015 vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen
walifanya mashambulio yaliodumu karibu saa nzima dhidi ya kituo cha
wanamgambo wa FG katika eneo la Sinka Deer.
Wakaazi
walisema kuwa walisikia milio ya silaha nzito pamoja na risasi za
rashasha waliokuwa wakirushiana makundi waliopambana kwenye kituo cha
Sinka Deer.
Post a Comment