0


Habari kutoka mjini Kismaayo iliyo katika mkoa wa Lower Jubba kusini mwa Somalia zinaeleza kuwa kikosi maalum cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamefanya opresheni maalum ndani ya mji huo.



Duru zilieleza kuwa Mujahidina walivamia nyumba mmoja iliyoko katika mtaa wa Gul Wade mjini Kismaayo ambapo ni makao ya Maofisa wa kitengo cha ujasusi wanaojulikana PS.




Milio ya risasi na silaha nzito waliokuwa wakirushiana yalisikika katika mtaa wa Gul Wade,vyanzo vya kuaminika viliarifu kuwa mujahidina walifanikiwa kumwua Afisa mwenye cheo cha juu katika utawala wa Ahmed Madobe lkini hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kuhusiana na shambulio hilo.



Upande mwingine wanajeshi wavamizi wa Msalaba kutoka Kenya walioko katika Kijiji cha Bula Kuduud iliyo nje ya mji wa Kismaayo wanakutana na hali mbaya,Mwandishi Abdil wahab Bukhari aliyoko mkoa wa Jubba anaarifu kuwa shambulio la kuvizia iliyofanywa na Mujahidina imesababisha kuingia kwenye hali ya kizuizi kwa wanajeshi hao wavamizi.



Maeneo mengi ya miji na vijiji mkoani Lower Jubba waliovamia wanajeshi wa Kenya kuna makabiliano makali yalio dhidi ya wavamizi

Post a Comment

 
Top