Habari kutoka nchini Chad zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wa
Boko Haraam wamefanya shambulio la kupangwa mmoja ya miji yalio karibu
na mpaka wa kizushi kati ya Nigeria na Chad.
Maofisa
wa utawala kibaraka wa Djameena amethibitisha kuwa vikosi vya
Mujahidina wa Ahlu Suna walivuka kwa kutumia Boti na kutekeleza
shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi iliyopo Wilaya ya Nagooba.
Shambulio
hili linakuwa wa kwanza kutekelezwa na Mujahidina ndani ya Ardhi ya
Chad ambao ni sehemu ya ushirika wa Muungano uliotangaza vita dhidi ya
waislaam wa Nigeria.
Wiki
iliyopita Kiongozi wa Mujahidina wa Ahlu Sunna Lida'awat wal Jihad
Sheikh Abuu Bakar Shekow ujumbe na kuzionya mataifa ya Afrika Magharibi
waliovamia kaskazini mwa Nigeria unaotawaliwa na Mujahidina na
kutwabiqishwa Sheria za Allah kwenye miji hizo.
Post a Comment