Kumetokea
mvutano katika Bunge la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya
wabunge wa upinzani kupinga sheria mpya ambayo ina kipengele kinachotaka
uchaguzi wa Rais na wabunge ufanyike baada ya sensa kufanyika.
Wapinzani wanasema hatua
hiyo haikubaliki kwani hatua hiyo itamfanya Rais wa nchi hiya Joseph
Kabila kubakia madarakani hadi mwaka 2016 ambao ni mwaka wa uchaguzi.
Kutoka Kinshasa Mbeleshi Msosi na taarifa zaidi.
Post a Comment