Mwanamume
ajuza ambaye ametajwa katika kumbukumbu ya dunia ya Guiness kama
mwanafunzi mzee zaidi, sasa amepewa tuzo na kampuni ya mtandao ya
Google.
Google imeunda kikaragosi
katika ukurasa wake wa juu kwa mithili ya marehemu Kimani Maruge ambaye
aligonga vichwa vya habari alipojiunga na shule ya msingi akiwa na
miaka 84.
Huu ni mwaka wa kumi na moja tangu tukio hilo ambapo
Maruge alitaka kutumia fursa ya elimu ya bure kwa wote iliotangazwa na
serikali ya Kenya
Mwandishi wa BBC Wanyama wa Chebusiri anaarifu
Post a Comment