Manchester United imemfukuza msaka vipaji wao Torben Aakjaer kufuatia kuposti maneno ya Kibaguzi kwenye Mtandao wa Facebook.
Torben Aakjaer, Raia wa Denmark, alichapisha maneno ya Kibaguzi kupinga Uhamiaji kwenye mtandao huo wa kijamii.Mara baada ya tuhuma hizo kuibuka, uongozi ManchesterUnited uliamua kumtimua kazi Torben Aakjaer baada ya uchunguzi wa muda mfupi.
Post a Comment