“Nimesaidiana tu na director, some few ideas” Lisa ameiambia Bongo5. “Mimi asilimia 30, director asilimia 70.”
Lisa amesema atakuwa akishiriki zaidi katika kuongoza video za mumewe na amepanga kwenda kusomea masuala ya utengenezaji wa video nje ya nchini.
“Sasa hivi nasomea kuedit videos nataka nije kuwa director mimi mwenyewe. So far nafanya utundu mimi mwenyewe home halafu baadaye nataka niende nikasome kabisa. Mabeste ataende nje kusoma sound engineering na mimi nitaenda nje kusomea editing videos na graphics.”
Post a Comment