Akitokea kwenye session ya usiku ya studio, T.I. alipita kwenue
kipindi cha Jumatano asubuhi cha ‘The View’ kuzungumzia familia pamoja
na album yake mpya, Paper Work.
Kwenye interview hiyo, T.I. mwenye watoto 6, alithibitisha kuwa
alisharekodi nyimbo 250 kujiandaa na album hiyo itakayotoka October 21.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)