Ernest (kulia) akiwa na Forest Whitaker
Endelea kumpigia kura kwakuwa mchujo unaendelea na mwisho wa kupiga kura ni kesho Ijumaa. Washiriki 25 wataitwa kwenye usahili mwingine jijini Los Angeles.
Mpigie kura ifuatavyo.
> 1. Bonyeza hapa: http://bit.ly/castErnest
> 2. Ingia kupitia account ya Facebook
> 3. Ukiona sura za waigizaji mbali mbali, bonyeza “Newest”. Shuka chini kidogo
mpaka utakapoiona sura ya Ernest.
> 4. Ibebe picha hiyo (hold and Drag it) hadi kwenye box ya iliyopo juu ya picha zote. Ongeza washiriki wengine wanne na utakuwa umempigia kura.
Katikati ndio picha ya Ernest kwenye ukurasa huo wa kupiga kura
Post a Comment