Hatimaye Roma amelijibu dongo alilopigwa na Nay wa Mitego kwenye
wimbo wake ‘Mr Nay’ ambapo aliwataja yeye na Kala Jeremiah kuwa
wamepotea kwenye game.
“Sishangai,” Roma aliiambia Bongo5. “Kama mtu amethubutu kumchana
mama yake mzazi, akaona haitoshi akamchana baba yake mzazi, sembuse
Roma.”
Hata hivyo Roma na Nay wa Mitego ni washkaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)