Alipoulizwa kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm kama anatarajia kuwa mama, Aunt amesema hana ujauzito wowote isipokuwa anachojua nyeye amenenepa tu na kama mimbo ipo basi watu wataona. Baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimuuliza kama ni mjamzito kutokana na muonekano wa tumbo lake kwa sasa.
Pia Aunt amekanusha kuwa na uhusiano na dancer wa Diamond aitwaye Moze Iyobo.
Post a Comment