Young Killer aonjesha picha zaidi za video ya ‘Umebadilika’
Kwa namna picha zinavyoonekana, huenda video ya wimbo mpya wa
Young Killer ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro, inaweza kuwa
miongoni mwa video kali za mwaka 2014. Video hiyo ilichukuliwa ndani na
pembezoni mwa bahari ya Hindi katika kisiwa cha Mbudya jijini Dar es
Salaa. Hizi ni picha zingine za video hiyo itakayotoka hivi karibuni na
iliyoongozwa na Hefemi.





Post a Comment