Shilole akimsalimia mgonjwa
Akizungumza katika hospitali hiyo, rapper Stamina ambaye aliwawakilisha wasanii, alisema wametoa kidogo walichonacho ili kusaidia huduma katika hospitali hiyo. “Japo sio kikubwa lakini tunadhani kitaisadia kwa mamna moja,” alisema Stamina.
Kwa upande wa mwakilishi wa bia ya Serengeti, alisema wameamua kuungana na wasanii kwa pamoja ili kutoa msaada wao kwa hospitali hiyo.
Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo akizungumza na waandishi wa habari
Recho akimtakia hali mgonjwa
Roma akibadilishana mawazo na Nay wa Mitego wakati ya kuingia hospitalii ya mkoa wa Mara
Shilole na Edo Boy wakiwa wamebeba baadhi ya vitu
Wahusika wa hospitali wakipokea misaada
Young Killer akikabidhi baadhi ya vitu
Post a Comment