Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema
“Umemuona mama kijacho,” Nay alimwambia wa Bongo5 baada ya kutembelewa na mpenzi wake katika uwanja ndege wa Mwanza akijiandaa kuekelea Dar es salam, huku akicheka na kuendelea kumpiga mabusu mpenzi wake huyo anayeishi jijini humo.
Gari alilokuja nalo Siwema
Nay akimuaga mpenzi wake
Nay akizungumza na mpenzi wake
Post a Comment