0
Show ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika Ijumaa kwenye uwanja wa Kambarage imefana baada ya wakazi wa mji huo kupokea shangwe za burudani kutoka kwa wasanii kibao wa muziki.
Ommy  akicheza wakati amelala na binti wa Shinyanga
Ommy Dimpoz akicheza na binti wa Shinyanga

Wasanii waliotumbuiza kwenye show hiyo iliyoanza saa nne za usiku ni pamoja na Nay wa Mitego, Ommy Dimpoz, Recho, Linah, Fid Q, Stamina, Young Killer, Khadija Maumivu, Mr Blue pamoja na Chege na Temba.
Full Shangwe
Full Shangwe Shinyanga

Katika hatua nyingine usiku huo ulikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Ommy Dimpoz hali ambayo ilimfanya afanye show huku akiwa na mzuka wa hali ya juu.
Barakah Da Prince akiimba na wakazi wa Shinyanga
Barakah Da Prince akiimba na wakazi wa Shinyanga

Burudani
Burudani
DJ Fetty akisherekea serengeti fiesta 2014 akiwa nyumbani kwao Shinyanga
DJ Fetty akisherehekea Serengeti Fiesta 2014 akiwa nyumbani kwao Shinyanga

Chege
Chege

Linah akipanda juu ya stegi
Linah akipanda juu ya jukwaa

Temba na Chege
Temba na Chege

Linah
Linah
Mr Blue
Mr Blue
DJ Fetty akisherekea serengeti fiesta akiwa nyumbani kwao
DJ Fetty

Ice Boy akiwa na Young Killer
Ice Boy akiwa na Young Killer

Khadija Maumivu
Khadija Maumivu

Nay wa Mitego akiwa na Stamina
Nay wa Mitego akiwa na Stamina

Ommy akiwa na mtoto wa S
Ommy Dimpoz akiwa na mtoto wa Shinyanga

IMG_6629
IMG_6630
IMG_6641
IMG_6650
IMG_6664
IMG_6685
IMG_6697
IMG_6729
IMG_6732
IMG_6745
IMG_6767
IMG_6792
IMG_6817
IMG_6818
IMG_6820
IMG_6821
IMG_6823
IMG_6833
IMG_6841


Post a Comment

 
Top