Taarifa hiyo imetolewa kwenye website ya Roc Nation isemayo: Big Sean is the newest member of the Roc Nation family.
Anaungana na wasanii wengine wakubwa kama Kanye West, Jay Z, Rihanna, Meek Mill, na Timbaland kwenye kampuni hiyo.
Kabla ya hapo, msanii huyo alikuwa akisimamiwa na kampuni ya Kevin Liles, KWL Enterprises
Post a Comment