Mdogo wa Kim aitwaye Kendall Nicole Jenner mwenye miaka 18 tu naye amefuata nyayo za dada yake, kwa kupigwa picha za utupu na mpiga picha Russell James zitakazowekwa kwenye kitabu cha mpiga picha huyo kiitwacho ‘Angels’.
Dada mkubwa wa Kim na Kendall aitwaye Kourtney Kardashian ameshare Instagram picha ya mdogo wake akiwa mtupu.
Post a Comment