Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita
Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.
“Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” ameandika shuhudu mmoja.
Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mara moja
Baadhi ya mili ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo
Ajali hiyo imetokea siku chache tu baada ya ajali nyingine ya mabasi mawili iliyotokea Musoma na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35.
PICHA: AJALI ILIYOHUSISHA MABASI 2 YASABABISHA VIFO VYA ZAIDI YA WATU 35 MUSOMA
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZO
Post a Comment