0
Rapper Mabeste tayari amefanikiwa kuwa baba, baada ya mchumba wake Lisa Karl Fickenscher
Kujifungua July 2013. Hivi sasa Mabeste ameona ni wakati muafaka wa kuiaga rasmi timu ya ukapela kwa kufunga ndoa na kuwa na familia iliyokamilika.
mabeste n mchumbamabeste
Kupitia Facebook Mabeste ameonesha nia ya kumfanya mama Kendrick kuwa mke halali wa ndoa kwa kuandika:
mabeste na mchumba
“Wow!! We are getting married soon…mama ken nishike mkono nipeleke high level…. sayari nyingine juu bye devil!”

Post a Comment

 
Top