Kupitia Instagram Nasib Abdul ameshare kidogo siri ya mafanikio hayo ambayo amesema hayakuja kirahisi.
“Asikudanganye mtu eti ni kipaji tu, Hapana! ni juhudi, Heshima na kumtanguliza mwenyezi mungu mbele…. kumbuka hata mimi kabla ya mwaka 2009 nilisha toa zaidi ya Nyimbo 8, lakini zoke zikafeli… ila sikuzote nilijikaza na kujifunza kupitia makosa na hadi leo kufikia Hapa… #USICHOKE #Kwani_Ye_Aliwezaje”
Post a Comment