0
Video ya wimbo wa Shaa ‘Sugua Gaga’, imekuwa video ya msanii wa Tanzania iliyoangaliwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube kuliko video ya msanii yeyote yule.
shaa
Awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na wimbo wa Diamond Platnumz ‘Number One’ (remix) aliyomshirikisha Davido.
Hadi Jumamosi ya leo, ‘Sugua Gaga’ ina views 3,861,027 ikiwa na miezi sita tu tangu iwekwe upya kwenye mtandao huo.

Number One Remix ya Diamond Platnumz hadi Jumamosi hii ina views 3,722,689.

Post a Comment

 
Top