Mpenzi wa zamani rapper Iggy Azalea ambaye pia alikuwa meneja
wake, anadai kuwa Iggy alisaini makubaliano ya kumruhusu kuuza sex tape
yao, TMZ imesema.
Hefe Wine anadai kuwa Iggy ambaye jina lake halisi ni Amethyst Amelia
Kelly alisaini makubaliano hayo naye mwaka ambayo TMZ imeyapata ya
kumpa ruhusa ya kuzalisha, kuuza, kusambaza na kutangaza video hiyo.
Wine anaamini kuwa Iggy hana haki ya kisheria kuzuia uuzwaji wa kanda
hiyo.
Mkataba huo pia unadai kuwa Wine ana haki ya kisheria ya kutengeneza
na kusimamia website ya kutangaza kazi za Iggy na anaamini anaweza
kutengeza website atakayoweka video hiyo.
Post a Comment