Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers
Washindi mara tano wa kombe la klabu bingwa barani ulaya Liverpool watakutana mabingwa watetezi wa kombe hilo Real Madrid.
Liverpool ikiwa imerejea tena kwenye michuano
hiyo baada ya kutokuwepo kwa kipindi cha miaka mitano, pia wako kwenye
kundi moja na Basel na Ludogorets ya Bulgaria.Manchester City itakutana na Bayern Munich kwa mara ya tatu katika misimu minne,halikadhalika CSKA Moscow itamenyana na Roma.
Arsenal itakabiliana na Borussia Dortmund katika msimu wa pili,nayo Chelsea itamenyana na Schalke,pia Lisbon na Maribor.
Post a Comment