Pamoja na sisi kuwa katika tishio na vyombo vya usalama kuendelea makini na kuimarisha ulinzi, bado tishio kubwa liko Kenya zaidi kuliko Tanzania.
Tusikubali kutumika kuzuia watalii kuja Tanzania