0


Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma jana.
JANA KULITOKEA VURUGU KATI YA WANACCM  NA WAFUASI WA CHADEMA KATIKA ENEO LA MWANGA BAA, MKOANI DODOMA. VURUGU HIZO ZILITOKEA BAADA YA WANACCM KUNG'OA BENDERA YA CHADEMA ILI WASIMIKE BENDERA YAO AMBAPO WANACHADEMA NAO HAWAKUWA TAYARI KWA KITENDO HICHO NA MATOKEO YAKE VURUGU ZIKAZUKA KILA UPANDE UKITAKA USIMIKE BENDERA YAKE. MIONGONI MWA WAFUASI WA CCM WALIKUWEPO WAHESHIMIWA WABUNGE MABO NAO WALISHIRIKI VURUGU HIZO. KWA TUKIO HILI NA MENGINE MENGI YANAYOENDELEA KUTOKEA NCHINI, NANI HASA MWENYE MAKOSA, CHADEMA AU CCM? TOA MAONI YAKO!

Post a Comment

 
Top