0


Rwambano at Mapinduzi Halisi - 2 days ago
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo: A = 81%-100% B = 61%-80% C = 41%-60% D = 21%-40% F = 0%-20% Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo: A = 80%-100% B = 65%-79% C = 50%-64% D = 35%-49% F = 0%-34% Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi wa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo

Post a Comment

 
Top