Taarifa rasmi uliotolewa na ofisi ya habari ya kundi la Ajnadi la
nchini Misri imethibitisha Ishtish-haadi ya Amiri wa Kundi hilo.
Ajnadi Misri imesema katika taarifa
yake kuwa makabiliano yaliofanyika Kairo ambao iliwahusisha kati ya
Maaskari Polisi wa Utawala wa Misri na Mujahidina imesababisha kuuawa
Sheikh Hammaam Adiya al maarufu kwa jina la "Majdudiin Al Masry".
"Ummah wa Kiislaam tunawatangazia
Istish-haadi ya Sheikh Al Mujahidi Hammaam Adiya baada ya kukabiliana na
Mataghuti",ilidai sehemu ya taarifa iliyotolewa na Ajnadi Misri.
Mujahidina wa Ajnadi Misri
wametangaza kumchagua Amiri mpya Sheikh Izzudyn Al Misry,Makundi ya
kijihadi ikiwemo Ajnad ni mmoja wapo ya makundi wapiganaji wa Kiislaam
yaliochipuka baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini Misri iliyomwaga damu
nyingi.
Post a Comment