Kikosi cha Mainjinia na wataalamu wa Masuala ya Tarakilishi yaani
Internet ya Dola ya Kiislaam wamefanya mashambulio mengine mapya dhidi
ya mataifa ya Kimagharibi ambao wanaongoza vita dhidi ya Uislaam.
Shirika
la habari la taifa la Ufaransa limetangaza kuwa watu walio na ujuzi
mkubwa wa masuala ya Tarakilishi wameushambulia na kuishikilia mashirika
muhimu ya habari pamoja na televisheni kwa muda wa masaa kadhaa.
Mkuu
wa vyombo vya habari nchini France ameliambia AFP kuwa watu wanaoiunga
mkono IS wameishambulia tovuti maalum za televisheni za Ufaransa na
kisha kuandika vitisho vilio dhidi ya Utawala wa Ufaransa "Kwa hakika
mmeshiriki vita iliyo dhidi ya Khilafah ya Waislaam na mkae mkijua kuwa
Mujahidina watawalenga popote watakapokuoneni",ilidai sehemu ya ujumbe
ulioachwa na makundi hayo ambao waliweka katika tovuti
walizozishambulia.
Mkurugenzi
wa Televisheni ya "PV5 Mounda" amethibitisha kuwa televisheni yake kwa
muda wa masaa kadhaa ilkuwa ikishikiliwa na "Jihadi Electronic" lakini
baada ya masaa yaliachiwa na kuwa katika hali ya kawaida huduma za
vyombo vya habari nchini Ufaransa.
Makundi
hayo ya Kiislaam imetoa ujumbe kwa Maofisa wa Kijeshi wa Ufaransa ambao
wameilaumu kuwa katika vita yalio dhidi ya waislaam na wamewaonya
kuacha mara mmoja Uadui ulio dhidi ya Dini "Waokoeni watu wenu na muache
kuingia katika moto aliyoiwasha Franso Hollande".
Vikosi
vya IS wanaoitawala Ardhi kubwa ya Iraq na Syria wana ushawishi mkubwa
kote Duniani baada ya kuwakata vichwa vya maelfu ya Raia wa mataifa
Kigeni khususan nchi za Magharibi pamoja na Makundi ya Kishia.
Post a Comment